Adsense


FREEDOM FORUMS
Ni app ya android iliyotengenezwa kwa ajili ya mawasiliano baina ya mtu mmoja na mtu mwingine

MATUMIZI YAKE
Ndani ya app hii unakutana na majukwaa mbalimbali ambayo yamewekwa maalum kwa ajili ya mtumiaji kujifunza na kufahamu vitu mbalimbali kutoka kwa watu wengine!
Kama vile elimu ya darasani, mapishi, siasa, vichekesho, simulizi ,lugha mbalimbali pamoja na picha za kuvutia

WATUMIAJI
Ni mtu yeyote yule anayeweza kuandika na kusoma lugha mbalimbali. Mtumiaji wa app hii anaweza kujisajili au asijisajili ,lakini anaweza kusoma habari mbalimbali ndani ya FREEDOM FORUMS

INAPOPATIKANA
App hii kwa sasa imeandaliwa kwa watumiaji wa simu za android kuanzia 4.1 na kuendelea, pia kwa watumiaji wa huduma tofauti na android wanaweza kuingia ndani ya FREEDOM FORUMS kwa kugusa hapa www.freedomforum.rf.gd
Kwa watumiaji wa android wanaweza kupakua app hii playstore bure kabisa kwa kugusa hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wFreedomForums_9310676

TAFADHALI SAMBAZA NA MWENZIO AFAHAMU HILI

No comments